Amefanya Mungu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Amefanya Mungu - Paul Clement
...
Je ni nani angewezaa
kutoa chini mavumbini
mana kila mtu alitukataa
ila Mungu akatukumbatiaa
je ni nani angewezaa
kutuinua kutuweka juu
mana kila mtu alitukataa
ila Mungu akatuinua
je ni nani angewezaa kutupatia nafasi
mana kila mtu alikataa
ila Mungu akatupatiaa
akuangalia elimu zetu
akuangalia mionekano yenu
aliangaliaa mioyo yetu
kwake tukapata kibali
amefanya aah aah Mungu (amefanya)
amefanya aah aah Mungu amefanya
haikuwa rahisi Kwa akili zetu
amefanya aah aah Mungu(amefanya)
je ni nani angewezaa
kutukubali jinsi tulivyo
mana kila mtu alitukataa
ila Mungu akatukubali
si elimu zetu uuuh uuh
si ujuzi wetuu uuh uuhh
ila neema yake
imetuweka hapa
haikuwa rahisi eeh
vile namna neema
Yako inafanya hakuna elimu inaweza fanya
hata kama ikishindana
hata kama ikipambana
neema Yako itashinda
hakuangalia elimu zetu
hakuangalia mionekano yenu
aliangaliaa mioyo yetu
kwake tukapata kibali
amefanya
amefanya Mungu amefanya
amefanya
amefanya Mungu amefanya
haikuwa rahisi Kwa akili zetu
amefanya Mungu amefanya
amefanyaa
amefanya Mungu amefanya
ni yeye tu
amefanya Mungu amefanya
si mwanadamu
haikuwa rahisi Kwa akili zetu
amefanya Mungu amefanya
haikuwa rahisi Kwa akili zetu
amefanya Mungu amefanya
haikuwa rahisi Kwa akili zetu
amefanya Mungu amefanya