
Mungu alijua
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Mungu alijua - Paul Clement
...
Hallo
Eh mama shikamoo
Je ni nani alijua leo ningefika hapa
Je ni nani alijua leo ningekuwa hapa
Hata wazazi wangu hawakujua ila
Mungu alijua
Hata rafiki zangu hawakujua ila
Mungu alijua
Hata walionilea hawakujua ila
Mungu alijua
see lyrics >>Similar Songs
More from Paul Clement
Listen to Paul Clement Mungu alijua MP3 song. Mungu alijua song from album Zawadi is released in 2023. The duration of song is 00:05:59. The song is sung by Paul Clement.
Related Tags: Mungu alijua, Mungu alijua song, Mungu alijua MP3 song, Mungu alijua MP3, download Mungu alijua song, Mungu alijua song, Zawadi Mungu alijua song, Mungu alijua song by Paul Clement, Mungu alijua song download, download Mungu alijua MP3 song
Comments (18)
New Comments(18)
Elvin kabwoginsihw
Elvin kabwoginsihw
minister paul umekuwa baraka maisha mwetu sisi vijana wa kizazi hiki Mungu akubariki sana ❤️❤️
Barack w0cql
Amenipa amani kweli!! Blessing you

Immah Praize
I love it
Faiyee Mumbi
Amen.
Neema MushyTz
♥️♥️
Dkellycu32b
Favorite Song
JOSHUA L. E TARIMO
amenipa faraja moyoni mwangu hakika
JOSHUA L. E TARIMO
blessings be on you brother
JOSHUA L. E TARIMO
kweli kaka unanibariki sana
Snapney99
Nice be blessed
Hanmah02
Hakika ni mungu ndio anaejua kila kitu
brother Paul huu wimbo ni mafuta matupu humu instruments melody africanism ndani akii this song imeshuka kutoka juu hii ni nyimbo kubwa[0x1f63f][0x1f63f]