Mwema ft. Bella Kombo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Mwema ft. Bella Kombo - Paul Clement
...
wema wako si kwa wakati was furaha tuu? wemaa wakoo pia wakati ata was machoziii,,wemaaa wakoo aupimiki kwa majira Fulani tuuu,,wemaaa wakoo Ni kilaaaa wakati na kilaa nyakatii! hata sasa Ni mwema ,tunapoimba ni mwema ,tunapolia Ni mwemaaaa ,tunapochekaa Ni mwemaaaa tunapopanda Ni mwemaa ,,tunapovuna Ni mwemaaaa so weweeeee Ni mwemaaaa uuuuuu mwemaaaaa wewe Ni mwemaaaa×2 mungu wa barakaa#unatupendaaaa×2 aaaaa wewewe weweeeee ,,wema wako Ni Kama mchanga xiwez kuesabuuu ,,wema wako Ni Kama maji yanoyo miminika bill kukoma mtu akinge ama asikinge hayataacha kutoka ,,,