Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2021

Lyrics

Spoken Word - Paul Clement

...

Nadhani

Nimetumia muda mwingi zaidi wa maisha yangu in engage gizani

Not real knowing who i am

Nikitaka utambulisho wangu halisi

Nilianza kwa marafiki zangu na watu wanaonizunguka

It was a total fail

Kila mmoja alinitambua kwa namna yake na kunitambulisha aonavyo

Wengine wakaenda mbali zaidi na kuniona namna wajionavyo

Na hata nilipojitafuta kutambua kwa kioo niliona sawa na kelele za utambulisho wao

Nilichokiona ni kile walichosema

Niliwazingatia

Wapo walionitambua kwa muonekano wangu

Mrefu,mwembamba,mnene kidogo,mfupi

Kuna walionitambulisha kwa tabia na hulka zangu

Amechangamka kupita kiasi,ni mpole sana,hajui kuongea na watu,anajifanya mjuaji kupita maelezo

Wapo walionitambulisha kwa madhaifu yangu

Ana makengeza,matege,yule mwenye chongo yote hayakuwa mazuri

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status