Nilewe Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Nilewe - Kusah
...
kaomba msamaha kasema harudii Tena
kakili Amefanya mmmh ni tamaa tu
kalia kinoma anataka arudi Tena
amekili amefanya mmmh ni tamaa tu
Yale yote nilohisi Kumbe kweli
Yale yaliosemwa Kumbe kweli
ametoka na nanii Kumbe kweli (ni kweli kweli)
amesahau eti tumetoka mbalii
sasa nataka nimsamehe
nisahau yote
lakini siwezi
acha ninywe gambe (niacheni nilewe)
niacheni nilewe mmmmh x2
niacheni nilewe eee eee
mwenzako huku hali sio shwali
bora ungeficha ukweli
napenda ukweli Ila ndo siwezi darling
bora ungeficha ukweli
mwenzako mm siwezi kushare
ooh baby umeshindwa Ku care
na ndo imekua pata po tea
naenda labda utangojea
Yale yote nilohisi Kumbe kweli
Yale yote yaliosemwa Kumbe kweli
ametoka na nanii Kumbe kweli
amesahau eti tumetoka mbalii
niacheni nilewe.........
ukua na haja ya kuniambia ukweli ma wee
sitoweza kuendelea na wee
ukua na haja yakuniambia ukweli ba wee
sitoweza kuendelea na wee
niacheni nilewe
niacheni nilewe
done by weance