Loading...
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Dede - Lava Lava
...
..... Niamini(eeeh) me mwingine sina darling na sikufunzwa mbaya tabia mahaba niuwe mm kwako chalichali ndani donda funza nishajifia oooh bora kukueleza imenishinda siri we ndo umeniweka kiganjani na nikiteleza unikoshe na mwili chonde usije nieka visangani nawe chunga kauli zinaponza zitafanya tuwe maaduiiii(maadui) kinywa tia kufuli na macho fumba usije kutamani mabeduiiiii(mabedui)
Chorus
Dede De dede simama wakuone your number one dee dede Sitaki mwingine your my only one(*2)
....
Naatamani makosa yasingekuepo tusikosane ooh baby oyoo na samahan ingekuwa kama kichekesho tuchekeshane ooh bila choyoo naweka wazi shaidi moyo wangu we ndo fundi wa raha zangu kachumbari uzanduuzandu kwako bwerere mkuna nazi wali kwa matandu mi pweza na ngurupandu unavyomix na chachangu sinaga kweree
Basi chunga kauli zinaponza zitafanya tuwe maaduiii(maaduiiii) kinywa tia kufuli na macho fumba usije kutamani mabeduiii(mabeduiii)
....
Classic sound
Similar Songs
More from Lava Lava
Listen to Lava Lava Dede MP3 song. Dede song from album Dede is released in 2017. The duration of song is 00:03:53. The song is sung by Lava Lava.
Related Tags: Dede, Dede song, Dede MP3 song, Dede MP3, download Dede song, Dede song, Dede Dede song, Dede song by Lava Lava, Dede song download, download Dede MP3 song