Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2021

Lyrics

Hapana - Kusah

...

KUSAH

HAPANA

mmmh! nanaa !

hata waseme nin sikuachi we ndio kwanza umepanda na chati umenidhibiti umenishika na shati..umeshinda umevunja kamati

mwenzio nimejitoa mhanga kwenye huba lako

nichap nipeleke utakavyo Mimi punda wako...

na sito shika simu yako ila shika yangu nimekubari...

hao hawafikii zako wanakusema mim sikubariii


{et wanasemaaa...}

mala unagawa kwa vipande

ooh! unakwenda kwa mparange

et sikwezi nkajipange mala nikwache ukadange...


beib mi hapana

kukuacha hapana

unachonipa hapana

kukikosa hapana

beib hapana

kukuacha hapana

unachonipa hapana

kukikosa hapana


ushangai nshakufumania ila bado nimeng'ang'ania penzi lako limenizidia ....

na mwaka huu watanizika!

siwalisema kwamba ubebeki Leo nakubeba yan kudadek

mmh! afe kipa au age beki ndo nishakua wako liwa lonely

sitoshika cm yako ila shika yangu nimekubarii....


haoawafikii zako wanaokusema Mimi sikubar


(et wanasemaa.....)

mala unagawa kwa vipande....

oooh! unakwenda kwa mparange....

et sikwez nkajipange mala nikwache ukadangee


( beib mi hapana,,kukuacha hapana

unachonipa hapana

kukikosa hapana)*2


hana lyrics by saliucy melodies

+255 627791847



Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status