Wa Sasa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Wa Sasa - Kusah
...
Ooh my we nataka nikupe penzi ulishike lote
Ulishike kwa mikono kwa mikono mwenyewe
Na ata ukiwa mbali we jifanye kama tupo wotee aaah
Fumba macho unione unione mwenyewe
Kweli mabaya yapo ila mazuri yapo
Tujishikilie husije ukaniacha utafanya nilie
Kweli wabaya wapo ila wazuri wapo
Inabidi unangalie husiwatamanie utafanya nilie mmh
Huyu wa sasa nahisi nimefika
Sitaki ata kupepesa macho
Sioni kando
Huyu wa sasa nahisi nimefika
Sitaki ata kupepesa macho
Sioni kando
Mwenzako penzi lako burudani
Jamani huku hoi taabani
Mwenzio sikio halisikii tena
We jione mwamba ringa vimba dunda
Wajue nakupenda aah mwenzio nakupenda aah
Na mi natamba insta tiktok naringa
Mwenzio nakupenda aah wajue nakupenda aah
Kweli mabaya yapo ila mazuri yapo
Tujishikilie husije ukaniacha utafanya nilie
Kweli wabaya wapo ila wazuri wapo
Inabidi unangalie husiwatamanie utafanya nilie mmh
Huyu wa sasa nahisi nimefika
Sitaki ata kupepesa macho
Sioni kando
Huyu wa sasa nahisi nimefika
Sitaki ata kupepesa macho
Sioni kando