Kelele ft. Ruby Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Kelele ft. Ruby - Kusah
...
Oh yeah yeah yeah yeah
oyeeeee
we umenikaa umenikaa kwa roho
Nafsi mpaka akili yangu
We dada umenibamba mhhhhh
Oh darling alafu tumetokaga mbali
Mhh sioni dalili ya kukuumiza ukalia
Alafu darling mwenzako nakupenda kweli tufike wawili sitaki mwingine kwa safariii
Penzi letu lime take over
Nimekunywa nina hang over
Umegeuka gari umenigonga
Mhhhhh
Penzi letu lime take over
Nimekunywa nina hang over
Umegeuka gari umenigonga
Nimeshika kichwa umeninyonga
Ila kelele lele
Bwana kelele lele
Mh kelele lele
Bwana kelele lele
Oh kelele lele
(Maneno ya kando kando)bwana kelele lele
(Hawanaga mipango)ma kelele lele
(Yatakishwa babaaa)bwana kelele lele
Wale walonidhulumu
Nikawapa wakaibaaa
Ukaifuta na sumu
Ukaijenga na huba
Baba babaa niongezee
Nipe vyote nikumbate
Na mahaba nipe yote
Wale wasinikamate
Penzi letu lime take over
Ninakunywa Nina hang over
Umegeuka gari umenigonga
Hhhhhhh
Penzi letu lime take over
Nimekunywa nina hang over
Umegeuka gari umenigonga
Umenishika kichwa umeninyonga
Ila Kelele lele(maneno ya kando kando)