Karibu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Karibu - Kusah
...
Najua nimajaribu ila jaribu kurudi nyuma si mbaya
Najua mapenzi yanakutesa umekondeana
Nimejaribu kuongea na baby
Ooh baby huyu mwenzetu anadead
Hauwezi amini amekubari yuko radhi muwe wawili
Ila amesema ukirudi we mwenzetu we
Upunguze na mdomo
Yale maneno yakiburi we mwenzetu we
Upunguze na mdomo
Na amesema ukirudi we mwenzetu we
Upunguze na mdomo
Yale maneno ya kejeri we mwenzetu we
Upunguze na mdomo (husikonde)
Karibu mwaya karibu
Husisuse karibu usione haya karibu(husikonde)
Karibu mwaya karibu
Husisuse karibu usione haya karibu(husikonde)
Najua usharopoka mengi ushasema
Binadam tumeumbiwa maneno
Ata umeme nao unakosa luku
Nitashangaaje binadam kudema
Najua unataka hutaki
Unachotaka hupati na kurudi kwangu bahati ila ukikumbuka nafsi inakuuma
Nimejaribu kuongea na baby
Ooh baby huyu mwenzetu anadead
Hauwezi amini amekubari yuko radhi muwe wawili
Ila amesema ukirudi we mwenzetu we
Upunguze na mdomo
Yale maneno yakiburi we mwenzetu we
Upunguze na mdomo
Na amesema ukirudi we mwenzetu we
Upunguze na mdomo
Yale maneno ya kejeri we mwenzetu we
Upunguze na mdomo (husikonde)
Karibu mwaya karibu
Husisuse karibu usione haya karibu (husikonde)
Karibu mwaya karibu
Husisuse karibu usione haya karibu(husikonde)