Najua Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Najua - Kusah
...
mmmmmmh mmmmmmh mmmmmh
(heeey parilaaa paralileri paralileli pariloo)
heloo: mmmmh beby hivi niwewe
mmmmh niwewe
ata siamini kama niwewe mmmmmh niwewe
(mcyuuuh)
( baby kunanini tenah : aaah nliyoona huku mbona niaibu
mbona sinakosa unaniazibu unafanya haya unanisulubu
siungesema kwamba baby najalibu
ningeweza ningepapata hata majibu
hona umeniweka kwenye majaribu
(kusah mbona sikuhelewi:utanielewa si ulilewa
walichotaka tiari wamefanikiwa umenizalilisha
tufanye nimekuelewa mimi mwelewa
je ningekuwa mimi wewe ungenielewa
umeninyong'onyesha
(daaaah unanichanganya: tukiwa nyumbani buuh
unanijaza TUY aty ni mimi TUY niko mwenyewe
supu makongo juu kwa mume mwenzangu
unanikatili
daaaah beib:mwambie vyakuiba kwandani vinamiba
mi mwanaume mwenzie ananiumiza
si umemwambia kwamba
kwako sijiwezi umenifunga kamba
nimekubali kwamba yenikidume amenishinda mwamba ( I am sorry beib:
na yule wambezi dalari si umetoka nae
wala mi sinashida nae ILA jua nilijua
na yule bodaboda kala uloda au kakuloga
unanizalilisha dada weeeh
mmmmh mbona umefanya vibaya beib weeeh
umenikatiliiiiii
hili giza baya honey weeh umezima kandilii
(yeleparilaaa paralileli paralileli pariloo
(I love you darling mwaaaah)