Utaniua Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Utaniua - Kusah
...
dopa beat
nikikuona nanyamanza hata kama nilikua nalia
macho unayapumbaza
Raha zinazidi nalia
upepo utoke maghalibi
yani uvume pwani ya mabala
Hizi raha zanizidi
mimi huba lako lanitawala
na taka nitangaze kwa redio na
nataka wasikie na wenzio
penzi lako napeleka mbio na
baby wewe kichwa mm sikio
nataka nitangaze kwa redio na
nataka wasikie na wenzio
penzi lako napeleka mbio na
baby wewe kichwa mm sikio
ukizidisha utaniua
walahi utaniua
ukizidisha utaniua
walahi utaniua
oooh baby leo pombe na muziki
maisha yetu sio ya Kiki
wasitingishe kibiriti
we ni show unavyo ni show penzi letu ni muchongo
mmmmh
usiwape hata uso wape mugongo
mmmmh
nataka wasikie na wenzio
penzi lako napeleka mbio na
baby wewe kichwa mm sikio
nataka nitangaze kwa redio na
nataka wasikie na wenzio
penzi lako napeleka mbio na
baby wewe kichwa mm sikio
ukizidisha utaniua
walahi utaniua
ukizidisha utaniua
walahi utaniua
Added by
Prince wa kigoma