Angalau Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Angalau - Kusah
...
uye uye uyeee mmmh
ah Kuna mda wanakupa faraja
unazan unalivuka daraja
wapewa sifa unanyimwa naacha ja
ah kuna mda unapitia darasa
unasoma humalizi kurasa
hufiki mbali wanakupa mikasa baba
kama kuimba me naimba sana na mnanisifia sasa mbona ctokii
kama kuandika naandika sana nyimbo zao mnazijuaa sasa mbona ctokii
labda muda bado haujafika acha apewe mondi nami atanipa labda mimi bado kinachofanya mimi nakacrika anapendwa kama mimi nadhirika yaan baado au niroge nichukue na maji nioge ndo nyota ing'aeng'ae kwa wema kombe nipite kwa jacky nimgongee niende kwa zari anihonge ndo watu wanijue...
mana bdo bdo iye iye iye!angalau nyimbo moja tu iye iye namimi wanitambue
.....................lala.........
mwanzo nilizan gundu au nyota labda inafifia nikajipa moyo nikiwa nayule labda atannyanyua kumbe n kibudu mbuzi kafa alafu namnyanyua nikajipa moyo et kwenye giza nilione jua ila kwann badoo wanapendwa wao sionwi ila kwann bado wanapendwa waoo mimi sionwi waliokua wadog zangu wanahit au labda ni lifungu la ridhiki au labda mimi kwenu sihitajiki eh mh amberluty na video anakiki yule nae kaimba buku anahiti au labda mimi kwenu sisikiki oh tatzo lenu n vya maana hamvoend eh ujinga jinga na ushenz ndo vinatrend ukikosea ata kdg hawakupendi yee au niroge nichukue na maji nioge ndo nyota ing'ae ng'ae kwa wema nikombe nipite kwa jac nimgonge niende kwa zari anihonge ndo watu wanitambue mana bado bdo iye iye naomba mimi iye iye naomba unione iye nshachoka mie iye iye namm wanitambue iye iye iye ulalaaaa iyeiyee...!!!!