Daddy Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Daddy - Kusah
...
Mmmmh!!
mmmmh!!
Ni kusaah! tenaa aaah aah
Chibiiiih!
Amesema atabaki na me atakuwa na me daily nchi kavu ama tsunami atabaki na me babee alisema ata aje nani amhonge Nini yani tukifika kitandani ata nambia ukweli yanii ooh alafu wa mbeaa tumetupia mbali wakiongea maneno sio Mali alafu huyuuh!
Ananipa tendo ananipa dawaa kwake nimezama nimepagawa ndani kwenye tendo ananieka sawa kwake nimezama nimepagawa that's why she call me
Daddy daddy
Daddy daddy!!!!
Ndo maanaa ananitaaa
Daddy daddy
Daddy daddy!!!!!
mmmh! chibiiy (chapaaah)!!
Hakuna Raha Kama kupendwaa mwe mwenyew sijui ata Mimi niwaeleze eezejee na akipanda juu me nashuka chinii ooh hayaa aah vimaji maji flan hivyi kitandaniii kihayaa mmh the way she call me daddy napandwa na midady kumbato kwa baridii me hoii
Ananipa tendo ananipa dawaa kwake nimezama nimepagawa ndani kwenye tendo ananieka sawa kwake nimezama nimepagawa that's why she call me
Daddy daddy
Daddy daddy!!!!
Ndo maanaa ananitaaa
Daddy daddy
Daddy daddy!!!!!
mmmh! chibiiy (chapaaah)!!......... .......
..........
kopa kopa kopa
freenation ..
Good music in life chibiiiih aaah ladies aah I love you love you love you yooh
TAKE FIVE NOW(take five now take five now.....)
By... Kombajr17