Lalala ft. Vanillah Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Lalala ft. Vanillah - Kusah
...
spon... (tracks!)
..na kusah tena aah!
huu lalala.. huu lalala..
ooh oooh..
wazuri wengi niliwaona kitambo oo
ila huku kuna mambo
Ah penzi kama limewekewa ulimbo oo
oh huku kuna mambo
so beautiful alipo nipo
ntala nae eh kwa moto upepo ×2
waite watu tutangaze kwamba niko na wewe
dunia nzima na ijue kwamba niko na wewe
huu lalala.. huu lalala
huu lalala.. huu lalala×2
umeniziba mdomo, baby..
umenipa somo
nimejifunza kujali ndo mapenzi..
na sio kufanya ngono
nimefika kikomo
moyo wangu umefanya mgomo
simtaki mwingine
aje kutatua mshono
asanteee.. unaniwekaga kwenye mood
ata nkikosa money, unanipaga very good
nikichika miee, unalala kifudifudi iih
mama ntiliee.. pakua yote shishi food
kuna watu washabadili gender..
sababu walikosa wakuwapenda
miaka rudi miaka nenda..
sitokuja kusema basi nenda mupenziii
waite watu tutangaze kwamba niko na wewe
dunia nzima na ijue kwamba niko na wewe
eeh!
huu lalala.. huu lalala
huu lalala.. huu lalala×2