Asante Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Asante - Paul Clement
...
Asante by Paul Clement
........... ... .......
Sijui unanilindaje, unanitunzaje sijui mimi(eeeeh)
Sijui unanitunzaje, unanivishaje sijui mimi
nacho jua kuwa ninalindwa na nguvu zako
ninatunzwa na neno lako, kivipi sijui, mimi sijui
maana umesema mtu hatoishi kwa mkate tu
Bali kwa kila neno litokalo kwenye kinywa chako
kumbe ni wewe tu usiye acha mguu wangu usogezwe na mwovu.
ulali wala usinziiii, kwa ajili yangu
uzimiii wala huchoki kwa ajili yangu
kwa nini nisiseme
Asante kwa yote Mungu wangu (ya kushukuru)
ninayo ni mengi (umetenda) umefanya
kwa nini nisiseme
Asante kwa yote Mungu wangu( ya kushukuru)
ninayo ni mengi (umeyafanya) umefanya
we Kyala ulinamaka mabegani mwako umenibeba
hata Sasa wewe ni Ebenezer kwa nguvu umekuwa ni msaada
mimi ni yu yule yule mkoma nimekuja na lile neno moja Asante Hilo ndilo nalo Sema maana ndilo lililo ndani yangu (mmmmmh)
nikisema yote uliyoyafanya sitayamaliza
maana ni mengi sana zaidi ya mchanga sitayamaliza
hulali wala usinzii kwa ajili yangu
uzimii wala huchoki kwa ajili yangu
kwa nini not siseme
Asante kwa yote Mungu wangu (ya kushukuru)
ninayo ni mengi (ni mengi) umefanya
Bwana kwa nini nisiseme
asante kwa yote Mungu wangu (ya kushukuru)
ninayo ni mengi( mengi) umefanya
kwanini nisiseme
Asante kwa yote Mungu wangu ( ya kushukuru )
ninayo ni mengi umefanya