Sawa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Sawa - Jay Melody
...
Jay once again
Mapenzi Tu nimepagawa hamjui
Ye kila mara ananifanya silali
Namuwaza yeye tu
Anaiweka roho yangu juu
Ana utoto tu
Sema uzuri ananipaga asali
Me nailamba tu
Na penzi letu ni kama Sunna
Na ulinzi kama Suma
Hata akinuna bado anapendeza mchumba
Mkimuona ananichuna
Msinionee huruma
Cha mtu uliwa na mtu
Kutu yake chuma
Basi mwambieni nampenda
Eh
Sawa
Sawa
Sawa
Ah mwambieni nampenda
Yes sawa
Right sawa
Eh sawa
Huo utamu hasa nikiingia
Akifungua gate naingia
Akipanua net naingia
Na wala sikwepeshi naingia
Sina akili ya Ku change Idea
Hapo hapo nimemng'ang'ania
Hapo hapo nimeshikilia
Na visokorokwinyo mtaumia naahaa
Kwa hakika haya mapenzi
Kusema kweli
Yataniua