Mbali Nawe Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Once again
Verse1
Masikini mimi
mwenzako mimi naumia sana
Japo nishajua mimi
Kuwa sawa na wewe haitawezekana
Hata nikishuka chini
Ndo unaniona mi mjinga sanaa
Eti umepatwa nini
Mbona hapo mwanzo ulituliaaaah
Bridge
Na wala sio mbali sio mbali
Tulikua karibu na malengo
Na leo kiutani kama utani
Umeshindwa kuumaliza mwendo
Na tena haujali haujali
Ukiondoka utaacha pengo
Hakuna cha habari nikae mbali
Huku kuachwa bila maelezo
Chorus
Mbali nawe
Verse2
Au kuwa na mie hautamani
Basi niambie kosa gani
Basi niambie jinsi gani
Utakua sawa baby mmh
Nikueleze jinsi gani
Vile nimekuweka moyoni
Hata unipime kwa mizani
Nitajaa kwako honey
Mi naumwa siko sawa
Lako penzi ndo yangu dawa
Mi naumwa aah siko sawa
Lako penzi aah ndo yangu dawa