Huba hulu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Huba hulu - Jay Melody
...
mumunya au tafuna kitu mololo ,
yakhe saa 6 napata supu kongoro
mamai chuma biriani ya mama choro busati mkeka so kila siku godoro aiwewe.. nimekwisha ni mapenzi yamenishika hai,ninyi nimekwisha maumivu hastaravista
(ooh geebu)? aiiih.
kama kaupala ni upala sa nasafisha makutu na ikiwa vita fujo vurugu nashikisha mututu hizi biashara ndo balaa beby nishike kwa huku kavalia shanga afu chini kavalia kikuku aii,wewe nmekwisha ni mapenzi yamenishika aaih ninyi nmekwisha maumivu hastaravista (ooh geebu)aiih!
huba Hulu (endamalsha buske...)?
tanzaiya sasa (oya) ntamvikia sas
(ooya) ntamfanyia sasa (ooya ) ntampatia sasa (ooya)
alhabib alhabib alhabib alhasus baridi alhabib alhabib alhabib alkhasus baridi baridi baridi aaah alkhasus baridi! aiih!!!