Na iwe Kheri Lyrics
- Genre:Islamic Music
- Year of Release:2023
Lyrics
Na iwe Kheri - Jay Melody
Unayafundisha mapenzi kumkumbuka mwenyezi
Ni mwezi adhimu kwenye miezii
Na pia tumuenzi mazuri yako mengi
Siwezi kuyahesabu kwenye duniaa
Yaa rabbi karima nipe afya uzima
Nifunge mwenzi mzima majaribu niyahepuke
Nitaje lako jina nikisimama wima
Niombe usiku mzima mpka asubuhi pakuche
...
Na iwe kheri (na iwe kheri)
Ramadhan (ramadhan)
Na iwe kheri (na iwe kheri)
Na iwe kheri (na iwe kheri)
Ramadhan kareem
Ramadhan kareem
Na iwe kheri (na iwe kheri)
Ramadhan ( Ramadhan)