Sambaloketo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Sambaloketo - Jay Melody
...
Ooolalalaa
Mr lj
ooh ooh ananipa changamoto kila muda namuwazia (mmmmh)
Hadi nakua ka mtoto navyopelekwa nakwambia (mmmmh)
Penzi Lina nchanganya sweet anawasha moto
Iko kipigo mkong’oto punguza Kasi naumia
Ah ah
Oh ma baby nzela oh nzela wa njenje (njenje)
Nipe akapela ya utamu wa embe mbe (embe)
Oh ma baby nzela yoh nzela wa Zoro (Zoro)
Nipe akapela uponye huu moyo eya aaah
Samba loketo
Samba loketo
Samba loketo
Samba loketo
Kaniminya kaniminya
Kanibana kanchota mzima eeeeeeeh
Kichwani najaa mawenge Ana uchezesha mtima
Mwenzako napenda vibaya
Sijakupenda bahati mbaya
Nadata nakoma na haya
Unanifanya kitu mbaya yayayah
Oh ma baby nzela oh nzela wa njenje nje (njenje)
Nipe akapela ya utamu wa embe mbe (embe)
Oh ma baby nzela yoh nzela wa Zoro (Zoro)
Nipe akapela uponye huu moyo Eyaa ah
Samba loketo
Samba loketo
Samba loketo
Samba loketo
(the mixing killer)
Prince wa kigoma add it.......