Nitasema Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Nitasema - Jay Melody
...
mmmmh
onanananaa
sio unitoke hata mara moja
akilini mwangu oooh mara moja
ninayopitia ni kama umeniroga
haya mapenzi yamenipa gonjwa
japo sijawahi kukwambia jinsi ninavyokuota
nakuzimia moyo umeuokota
hii dunia imempenda mmoja
hizi hisia nitakuambia how i feel
pararararaaaa
how i feel
pararararaaaa
nitasema me
pararararaaaa
how i feel
pararararaaaa
nitasema me
............
oh!
navitu vyako vinachanganya ooh
unigusapo kwisha mwenzio ooh
your magnet-ooh nanivuta hapooo
utanitoa rohoo jamaniiii
unanikosha,
unaniwasha
unalia paah
moyo wanguuu
unanikosha
unaniwasha
unalia paah
mhhh
japo sijawahi kukwambia jinsi ninavyokuota
nakuzimia moyo umeuokota
hii dunia nimempenda mmoja
hizi hisia nitakuambia how i feel
pararararaaaa
how i feel
pararararaaaa
nitasema me
pararararaaaa
how i feel
pararararaaaa
nitasema me
unanikoshaaa
unaniwasha
unalia paah
moyo wanguuu
unanikosha
unaniwasha
unalia paah
moyo wanguuuu