Chini Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Chini - Jay Melody
...
chini.
mmmmmmh
ona nakupenda sana usije nipanga kama nyanya ukaniita tu mi sina maana ukanichezesha mchana mchana
ila wewe nipeleke utakavyo my mi ziwezi kubisha kwa lolote kwa wingine acha nijidai
kwako nijiinamie koloo