Mento Remix ft. Dayoo & Mr Blue Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Mento Remix ft. Dayoo & Mr Blue - Bando MC
...
Mzee nimekua mtoto natambaa
Nyumba inawaka moto sina pakukaa
Yale yalokua ndoto nayaona live
Ex kaa kushoto kata simu tuko site
Tumebanana tuko tight
Ni sex ganja na nyama the all night
Mapenzi kupambana tunafight
Mambo fresh baby mama twende left and right
Kama dozi we Kwinin
Kwako ni mento
Wanawaza tuachane lini
Nimeshaseto
Tunawakata ulimi
Mpka kesho
Onana onana
Baby we spesho
Kwanza tunamechi wengi wana tantalila
Wengi wana tantalila
Usinipige desh wengi wana tantalila
Wengi wana tantalila
Cha kwanza unanishangazaa
Vile unanikoleza ooh baby
Mi ntakuweka kwenye bango ntangaze
Vikopa kopa umejaza
Udabwi dabwi chombeza
Ooh baby ntakumilikisha akili utawale
Kwako mi ni me me mento
Kwako mi ni me me mento
Kwako mi ni me me mento
Kwako mi ni mento babyo
Aah aaah aaaah
Ntaambia nini walimwengu pindi ukinipiga chini
Ntaficha wapi sura yangu hapa mjini
Kuhusu michepuko mapambano umeshawin husishindane na sindano mama we bonge la pini
Nishakupa chance nipende mpka basi
Mpaka wanaotudiss siku moja watudiscus
Nakupa A maks maEx sasa basi
Watanyoosha maelezo bila kutumia pasi
Kama dozi we kwinin
Kwako ni mento
Wanawaza tuachane lini
Nimeshaseto
Tunawakawa ulimi
Kimbunga gheto
Ooh nana ooh nana
Wape na leso
Kwanza tunamechi wengi wana tantalila
Wengi wana tantalila
Usinipige desh wengi wana tantalila
Wengi wana tantalila
Cha kwanza unanishangazaa
Vile unanikoleza ooh baby
Mi ntakuweka kwenye bango ntangaze
Vikopa kopa umejaza
Udabwi dabwi chombeza
Ooh baby ntakumilikisha akili utawale
Kwako mi ni me me mento
Kwako mi ni me me mento
Kwako mi ni me me mento
Kwako mi ni mento babyo
Nishazifunga mboni baby baby
Nipo kwa bed njoo unibebe bebe
Mtoto kwashasimama dede dede
Njoo ulambe koni baby ooh baby
Naahidi niwe nawe milele
Naahidi niwe nawe milelee