Captain ft. Billnass Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Captain ft. Billnass - Bando MC
...
mafiosooo...chu chupa limeamka na chai ausiooo (
ambia mitaa ambia mitaa ambia mitaa si tumefika tukichafua pilika pilika
maongez baadaa ya Kaz badae kaka tuchat,Ngoma ya uswahil itambae mpka masaki, ukiskia ubao jiachaki maana bongo hupati haki ata ukitangulia mbele za haki,ndo yalivyo maisha ya binadamu Yao unaeza ukafa kwa njaa na siku ya msiba wako wakapika pilau,weka mipaka isifike minyau maana Kuna mda hata dokta kumbuka anajisahau(wananita captain Mzee wa angaa) shetani haezi kumilik nyumba ata km Mungu amepangaaa,mapenzi n ushamba demu wako unamlea kama Yao kumbe Kuna wahuni wanamkaangaaaa..
Tunayopitia mengi bila confidence,maisha hayataki ata kucomplicate wakifunga milango tunafunga na gate wakiuliza nan n sisi eeeee,
captain eee captain mih ndo captain ,nahozaa eee nahozaa eee mih ndo captain..
Ambia mitaa ambia mitaa ambia mitaa si tumefika tukichafua pilika pilika
Aya usiletee mipango km huna ata mia
ushike mabango wee usizibie njiaa
chuki ndo kitu ambacho nachukia (nachukia) ujinga namba moja kuuza mlango ili ununue pazia na usile ulichokilishaa utaliwa endelenii kubishaa ,imeandikwa Kila atakae bishaa atafunguliwa,
namba ni pure ,chafu kabsa imekataliwa alfu hatucheki na watoto sije wakatuomba maziwaa...
Unaambiwa gundi huwezi gundisha kwa gundi ukiona mama wa kambo anakupenda jua babako fundii..wape habari chombo naiendeshaa mimi,kikojozi hapati usingizi ugenini..
Wananita captain Mzee wa angaa
shetani haezi kumilik nyumba ata km Mungu amepangaaa
Mapenzi n ushamba demu wako unamlea kama yai kumbe Kuna wahuni wanamkaangaaaa
Tunayopitia mengi bila confidence maisha hayataki ata kucomplicate wakifunga milango tunafunga na gate wakiuliza nan n sisi eeeee
Captain eee captain mih ndo captain..
Nahozaa eee nahozaa mih ndo captain
Ambia mitaa ambia mitaa ambia si tumefika tukichafua pilika pilika.