Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2020

Lyrics

Baada Ya Uchaguzi - Bando MC

...

KC recoerd

Shey town boy.

Wajumbe tupo ka kamati Tulijua fikla atapita naniiiiii ila hatukufikia tamati shamba kumpatia mpinzaniiiih

Kutafuta haki mbele ya watu ni kutafu msikiti ambaoo waumini wanaswali wamevaa viatu. Haya kalibu tena tumekupa fimbo iliuchape kazi hali so njema imekua wimbo kwa kila mkazi,, na rushwa bado ni shaziii hii nchiii ukiona trafic mwembamba ujuee ni mgeni kwenye kazi tutegemee misemo ya nyumbani ni nyumban warohama chama wakikosa watahama tena upinzani wakirejea mwenye kiti hatawakaribisha tuuu na malipo ya mwana mpotevu ni kuzalilishwa tyuuu hasa chuii mmemkabizi vip ndioo hale kondoo wa bwana maana zilivuja siri amekula kondoo wa bwana, haina maana kwenye marefu kueka mapana. Je mmesahau kwamba tunajenga taifa na sio chama aliacha nyama bwana fisii kwa tamaa za mfupa alikosa vyote maana alitaka vyote kwa pupa. Unafki naule ulafi wa madalaka ndo ulimponza ila baba uwe deleva umepita usimsahau konda

Haya kalibu tena umeenda umebuni me sichoki kukukalibisha au ntachelewaaa usipagawe na usichoke kujalibiwa

( Baada ya uchaguzii*2)

Aaaaha. Kuna maisha baada uchaguzi ilo naomba ulitambuee,,,,,, maisha baada ya hongo walokupa ili huwachaguee Ukinyanyua kinywaa wana kuziba mdomo afuu wana sema. wanakufundisha kukaa kimya...... wengi wana humwaaa vijijini hakuna daktarii ila umejenga lami wapite wachahe wenye magarii. Daaah na haminije ka ntapona maaa na muuza santaize naye alikufa kwa Corona,,,,, Na wasaniii sijui wamekumbuka kuweka albamu maana unavuna miezi miwili miaka mi tano hunashida wapo walopata serfiiii wengine wamepata kodiiii nawatalaamu wa hizi kaziii ndo wanamiliki magojiiii,,,, Baba anamsomesha mwana lengo hajiiliwe hamsaidiee tena kwa nguvu ya vikoba na mtaji wa mama ntiliee ,,,,,,, kijana hajila hakuna yupo mtaani kula ngada na washkajiii mnamwambiajee ajiajili ingawa hamjampa shavuuu Nashabikiajee mpila wa nyumbani ikiwa nfumo haupo mwakeee kiongoziii wa TFF naye pia ana team yake Soka letu mimba changa aliye kua anafanya usajili simbaa ety naye amesajiliwa yangaaah.

Haya kalibu tenaaa umeenda umebuni sichoki kukukalibisha au hauja chelewa usipagaweee na usichokeee kujalibiwaaa

(Baaaada ya uchagiza*2)

Mungu tukumbatieee wanao tusitilikeee tufikilieee kwavichwa vyaooo ttufikiliwee wanauza utu kwa mali watajilike pesa mwana halamu funika kombeee basi lipiteee

Kwa kuanza mwaka tuna mkabizii munguuu eeehe mengine yaende tuuuh imanizetu zina tupa tumaaini wew na mim

( Kaaama una amini au kama)

( Kama unaamini au kama )

( Kama unaamini au kama )

Baada ya uchaguziii baada

Baaada yauchaguziiii baaada

Baaada ya uchaguziii baaada


+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status