
Mwambieni
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Mhhh mh mh
Mhhh mh mhhh
Mhh mh mh
Mhh
Eeeeeh kaja omba nirudia
Kazirejesha salam
Zamani kakumbukiaa
Ameumisi utamu
Kaacha kopa kalamba garasa, kaishiwa masikini
Mpeni taarifa za beti mkwasa mi simkumbuki sini
Heee mwambieni mwambieni
see lyrics >>Similar Songs
More from Zuchu
Listen to Zuchu Mwambieni MP3 song. Mwambieni song from album Mwambieni is released in 2022. The duration of song is 00:03:01. The song is sung by Zuchu.
Related Tags: Mwambieni, Mwambieni song, Mwambieni MP3 song, Mwambieni MP3, download Mwambieni song, Mwambieni song, Mwambieni Mwambieni song, Mwambieni song by Zuchu, Mwambieni song download, download Mwambieni MP3 song
Comments (838)
Top Comments (4)
mtuuu
Khalmandro
Kupitia “Mwambieni" kutoka kwa kiziwanda cha WCB, nimejifunza mambo mengi sana kwenye mahausiano ambayo yamkini nilikuwa siyajui. Nitaeleza machache ambayo ni: 1. Thamani ya kitu huonekana baada ya kuondoka -Watu wengi kwenye mapenzi wakijua wanapendwa tu basi huanza kiburi na majivuno huku wakijua kuwa hawawezi kuachwa. 2. Ukiachwa achika (Move on) -Katika wimbo huu wa ZUCHU, anafafanua kwa undani zaidi kuhusu kuachika pale unapoachwa. Unapoona chaka lako limeungua haina budi kutafuta chaka lako la kudumu lilipo. Na ukimpata mpenzi anaekupenda na mkapendana basi shikilia hapo, kamwe usisilikize maneno ya EX wako. “Alidhani ameniadhiri Alidhani amenikomoa Mungu akanipa msitirii Alonipoza nikapoa ah Penzi kalijaza ndindindi.. "[0x1f618][0x1f61b] Mwisho, wimbo huu unabeba ujumbe mzito sana kwenye jamii tunayoishi siku hizi. Wapo watu ambao wakiachwa hawataki kuachika na badala yake wanasababisha hata madhara kwa EX zao. Ili tusifike huko basi MWAMBIENI kuwa mali yake ishaliwa. [0x1f609][0x1f607]
Mjuba 99
Mwambieni - Zuchu Huu wimbo umechukua hisia za watu kwa sababu kama Mbili! 1. aina ya uimbaji ni ya Asili (kiutamaduni) kwahiyo Wazee wanasikiliza na watoto wanasikiliza na Kucheza! 2. Umegusa Uhalisia wa sasa wa hali ya Mahusiano ya kimapenzi, Wimbi la wanaume kuto kujali wenza wao limekua kubwa sana na hii ni kwa sababu wanaume wanafikiri wako juu kwa kila kitu mpaka kwenye maswala ya Mapenzi, Ubeti wa pili Zuchu ana bainisha hilo “Alidhani ameniadhiri Alidhani amenikomoa Mungu akanipa msitirii Alonipoza nikapoa ah Penzi kalijaza ndindindi Kanimwagia mwenwere mwenwere Pole ya kwako kidingi wa kudandia Ngendere ngedere Simu za usiku wa saa sita, aka staki Kuni dm insta, aka staki Kutwa kujicomentisha, aka staki Kujitumisha vipicha, aka staki” Kiujumla ni wimbo mzuri ambao unaendelea Kufanya Vizuri hapa Boomplay!
New Comments(838)
Lucy Kristom
[0x1f63e][0x1f63e][0x1f63e][0x1f63e]
Tabitha muasya
mnasema vipi?

Kamaria Hassanv4ip5
kazirejesha salamu[0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602]
Nafulawilbroda189
kiukweli zunchu amenifunza kukomesha ma ex. wimbo u mtamu sana
shelley kesh
love the song and she is so hot she is my fan
illuminati brotherhooddqhu0
Be enlightened today. The Illuminati New World Order will make you Rich, famous, powerful, and protected, get recognized and rise to the top in whatever you do,and surprisingly I was given an instant benefit money of $300,000.00 as a new member of the great Illuminati kind I was very happy and be protected spiritually and physically! All these you will achieve in becoming a part of the light. Remember, the great step and choices you make today will define your tomorrow, contact the Illuminati at via WhatsApp::+27798338524
young Queenm4flt
ako vzur
151448141
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Isaac Otieno Amolloh
sauti poa
Frank Ben 195xe
If you have zenith Bank account or Ecobank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Instant loading .. I have a direct zenith and Ecobank log now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank or Ecobank account.. don't give me new account within 30 minutes time the job is done +2347036681271
tiffanyost9q
dadagu wimbo huu naupa asilimia mia kwa mia jamani tamuu
happiness h58hn
[0x1f63f][0x1f63e][0x1f63d][0x1f63d]
zuchu ni anajua kuandika vizuri na pia anasauti nzuri..kiupande mwingine anatufurahisha sana nyoyo zetu mashabiki zake.pia amejaribu kutumia melody za wazambia pia ameonesha uhodari wa hali ya juu kama yeye anaweza.