Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2022

Lyrics

This time Tomorrow - Bando MC

...

ulisema utanipa kexho tena kesho yenye furaha tele kesho yenye special ya kujenga furaha ya milele nipe kexho njema, kesho ambayo ni kamba ya riziki ikikatika utaiunganisha tena, Mungu nipe kexho, kexho ambayo mi nta win ,marafiki walinipa msaada wakaishia kuntangaza mjini , dunia inazunguka wakweka akilini kwamba unaweza usitegemee cha ndugu na bado ukafa maskini , nixhakula msoto niulize kuhusu maumivu, nxhawasha moto wenzangu wakauota nikaambulia majivu, nshafanya kila mishe cjawah kuwa mvivu, mbona mi ni mvumilivu ila cjawah kula mbivu, kinachonkondesha ni kukosa pesa ya madafu, maixha yangu ni songexha kama sio nipige tafu, msosi wa manati mlo mmoja mpaka nahisi alie gundua maixha ni vita alikuwaga soldier,



aah nafsi inanambia kumcha Mungu tu ni chanzo cha maarifa, popote kwenye uchungu pana utamu ulio jificha, kwahiyo nikaze mwendo nitafika , riziki mafungu saba nishukuru hatanikipewa la sita, sometimes mdomo unasema nahitaji shavu, na ndo hivo hata moyo ili uheme unahitaji love, kwangu game ya mapenzi bado heavy mana nxhawahi kuteswa na demu kisa sikumpa hela ya ped .



kiongoz wangu nli mpa kura kwa roho moja, ila tangu ameenda bungeni hajawah kuchangia hoja, aliahidi mengi ila hajatimiza hata moja, anatuumiza matumbo kwa msosi wa mlo ngojangoja daah, .....

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status