Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2020

Lyrics

Darasa ft. Stamina - Bando MC

...

Nikiwa Na Asira wakuntuliza simuoni naweza nikakunja ngita alafu nkaziweka mfukoni ni kweli sina pay ila nna uwezo wa kumpa hi Mondi alafu nisimpe salamu [?] wapinzani wanagwaya nnavyotisha unapomuita demu wangu malaya basi hakikisha dada ako bikra leta mizinguo kwa mkupuo hapo ndipo utajua kwamba luku hainaga kifurushi cha chuo si hatushindani kuvaa tunasaka chapaa eti mganga hajigangi mbona me nshaganga sana njaa nskize we jamaa ukibisha ntashangaa mlimani city ndo mlima pekee unaopatikana Dar mambo ya vichwa haya dah ni mikosi hivi mnajua kichwa cha chini hakinaga utosi me mwenzako mambo ya vumbi staki kuyajua nshapaka vumbi la Kongo likanipa tu mafua sasa waambie na wenzenu leo yule kiziwi kajiskia yule mkali wenu ambae hata Ebitoke anamuhofia sema ugomvi huwa staki nikiwa na hasira alaf nkakosa cha kupiga me huwaga napiga mswaki kufanya mapenz juu ya ndege ni uhuni tena uhuni ulio bobea maana dhambi inawahi kufika mbinguni ila kambi popote fata pay diwani utaongoza kata zote ila sio kata K ukilala popo hupati pay soko hupandi bei local mtoko international hupati [?] coco no say kubweka kwishney story za wanoko ni michosho kila day brother I'm sorry kuuliza sio undezi ivi kati ya country boy na shilole unadhani yupi mnyamwezi mmh usiniulize hayo maswali yaki..... kati ya msuku na msukuma ivi nani ni msukuma mama watoto apa [?] au nipite kama mpoto ndani pamoto changamoto kuna kipindi tulikosa chakula tukala msoto huwa nikimwona mrembo amesimama dede [?] si unajua me ni raster kama chege ni sawa na Alikiba kuvaa buti la jeje hapa bongo nahisi soka hakuna bando nikiamua kufanya soka nitafanya guna ya deyole guna kwenye tungo me nafahamu nikifa ntaacha upendo ushawahi jiuliza kibogoyo akifa ataacha pengo na skuhizi niko bussy na mapene sio madem zenu vichwa panzi mwili senene na hii hali inakondesha kishenzi wenzako wanaendesha magari we unaendeshwa na mapenzi me kiboko ya hawa madogo wanao foka foka suti inanukia majani yasiyojua namoka moka salamu mpeni sanchoka mwambieni akimwaga radhi akianani naziokota aah swali wanapoliskia huofia jibu si wamekosa vya kutia wameamua kutia aibu waambie na wale walionipania hata kizibo ni mfuniko ila hakiwezi kufunika sufuria aise ni kisanga leo maiti imebeba jeneza mwenyekiti leo amebeba na meza mchezo unahitaji fikra bongo movie walivyowaongo unaeza kuta uwoya kaigiza bikra

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status