Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2023

Lyrics

Segerea ft. Kontawa & Xouh - Bando MC

...

mmmmh Mi nachekaga tu

J dramer on the beat

Segerea

Segerea

Segerea

Segerea

Segeraa

Segerea

Aaah undugu unapimwa nyakati ya shida sio kushare majina ya ukoo

Au kushare sare za msiba huku unakijiba cha roho

Ukitaka kujua rafiki wa kweli ni yupi yupi ni yupi ni urafiki ambao utazidi urafiki wa tako na chupi

Nipo jela sasa yapata mwaka na myezi kumi sijaona mjomba sijaona kaka ote wamenitupia kapuni

hali ni duni tuseme Labda suala la uchumi ndo washindwe kuniletea hata kipande cha sabuni

Maneno ya mama angu yananiumiza sana kila akija kunisalimia ananiliza sana ananiambia aoni thamani ya maisha yake mana me ndo jembe kwenye kila shamba lake

Inaniingia huruma kama mzazi mwanangu anapokosa huduma hata ya mavazi huduma hata ya shule ambayo itamjengea future kila msaada kazi bure wengi wanamjengea tuta

Daaah inanipotezea amani hata nilio wapa mwanga nao wamepptelea gizani

Ahsante kwakupata chance ya kuja kunitembelea karibu sege dance nyie mnapaita segerea

Segerea

Segerea

Segerea

Segerea

Segeraa

Segerea

Aah watakuambia jela ni jeshi watakuambia jela ni chuo pitia mafunzo yote ila bhana jela kituo mwanakwetu jela ni shile ambayp mtoto usimsomeshe kuingia ni bure ila kutoka ndo kasheshe

Ugali ndondo daily huku hawazongatii mapishi na wapo walio zoea wakitoka watarudi ndichi

Kuna mwana kamaliza kifungo haijakata wiki kakamatwa akiwa anauza bangi kituo cha police

Wapo wenye kesi za ufujaji,za mauaji,za utekaji,za ukabaji,za uporaji,uzurulaji na ujambazi wapo walio fungwa bila hatiaila siri ya mlango imefichwa nyuma ya pazia

Nimeona viini machp nimeona michakato hakuna yesu mwenye haki mbele ya utawala wa pilato nimeona mengi huku kuna mangavwaliingia malijali ila wametoka wakiwa wamesha left group

egerea

Segerea

Segerea

Segerea

Segeraa

Segerea

hebu kwanza niambia chakula cha jela unashiba

Najua jela hakuna amani hata ukiingia na frida jitahidi kuwa mvumilivu vumilia ma niga hata uwe na mbio vipi huwezi ukazimbia shida

Ona kesi sio yako na umeingia jela umeacha mama na watoto wanateseka kisa hela

Kiukweli sikufichi kuna watu wanakela mtu kakabwa na tonge alafu anasingizia masela

We sio wakwanza kufungwa usitie unyonge kirahisi maana hata yanga ashawahi kufungwa na police

Huku mtaani maji hayatoki na hivyo ndo tunavyo ishi so ukiskia mtu anaoga jua anaoga matusi

Jela tumeumbiwa watu usiumie kuwa kwenye hilo jumba me mwenyewe nipo mtaania lakin huko ninachumba

Bongo ukitembea na mwanafunzi unafungwa ila yesu alitembea na wanafunzi na hajafungwa

Segerea

Segerea

Segerea

Segerea

Segeraa

Segerea

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status