Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2020

Lyrics

Chama La Wana ft. Stamina & Billnass - Bando MC

...

Bando MC ft Stamina,Billnas -CHAMA LA WANA

(DuskoDusko Bado,Beya The Genius we)


BANDO MC


Mnyamwezi nshanyuka pamba,

Sembuse kuwanyuka nyie watoto,

Mademu vicheche mnaozunguka juu ya moto,

Bila hela ni vichomi,

Demu wako akilala na dela ujue kuna mtu anaenda kuchambwa ndotoni,

Mapenzi ya siku izi kama ajali,

Wengi tunaishi TEGETA NYUKI ila hatujui utamu wa asali,

Watakachokwambia we usijali,

Mana huwezi kutumia kamba ya raba kukazia buti ya gari,

Wamakonde ndo wanaoshabikia NDANDA,

Unaweza kuta MKUDE SIMBA nae anashabikia YANGA,

Wanaposema me ni mkali nazidisha gundu,

Muislamu anaswali ila nahisi jibu analo MUNGU,

OMG tasali vp usawa unabana,

Na nliskia eti mchungaji amekula kondoo wa bwana,

Yani noma sana dunia hadaa ulimwengu shujaa,

Ushajiuliza hv kipofu nae anaona kinyaa,

Usione ajabu mshamba akinyoa denge,

Ni ajabu sana kuona hadi mamba kaingia mkenge,

Hali ngumu kila sehemu ila pesa ndo bwana pekee ambaye anadumu na kila demu.


CHORUS (BILLNAS a.k.a Nenga Tronix)


DuskoDusko Bado nyie hamjui kurap (mnazugaaa)

DuskoDusko Bado me ndo yule champion kila muda,

Me ni chama la wana hawajui kama chama la wana,

Me ni chama la wana hawajui me ni chama la wana,


DuskoDusko Bado nyie hamjui kurap (mnazugaaa)

DuskoDusko Bado me ndo yule champion kila muda,

Me ni chama la wana hawajui kama chama la wana,

Me ni chama la wana hawajui me ni chama la wana.


STAMINA(sholobwenzi)


Aaaanh

Mamlaka ya Hali ya Hewa inanisaka na RB,

Eti nachafua anga navyotema hizi fasihi,

Navyosaga hizi laini utasema nina ubongo wa greda,

Seremala ile chonga kitimoto mnachopenda,

Kiufupi sili chungwa na maganda,

Demu wangu gitamani na demu wa Mensen Kinanda,

Hii serikali ya viwanda inanipa ndoto mbevu,

Nyumbani nshajenga banda nina dream ya kufuga ndevu,

Siwezi lala na njaa,ntalala na waifu,

Ukiona nimeshika kitanzi ujue nalala na laifu,

Akili nywele nachokiwaza hakipo mbali,

Mwenye kipilili ndo anaakili ya kachumbari,

Mziki wito wengi wanachana ila hawana sifa,

Mchezo simpo danadana hauitaji kipa,

Utani mwiko,nilipo huwezi fika,

Unaweza ukawa fundi jiko na bado usijue kupika.


CHORUS (BILLNAS a.k.a Nenga Tronix)


DuskoDusko Bado nyie hamjui kurap (mnazugaaa)

DuskoDusko Bado me ndo yule champion kila muda,

Me ni chama la wana hawajui kama chama la wana,

Me ni chama la wana hawajui me ni chama la wana,


DuskoDusko Bado nyie hamjui kurap (mnazugaaa)

DuskoDusko Bado me ndo yule champion kila muda,

Me ni chama la wana hawajui kama chama la wana,

Me ni chama la wana hawajui me ni chama la wana.



STAMINA(sholobwenzi)


Aaaanh

Na mapigo ya kila staili taekwondo mpaka kung-fu,

Hadi Pu*bu naipakia puturuu,

Sasa twanga ukoboe sikodoe,

Naposema akili nywele nambie za wap ili nizinyoe,


BANDO MC

Am sorry braza maisha safari sio na trafki,

Wanaofika kileleni gari wanapandiaga wapi,

Sipendi vya dezo,

Me ndo yule Ostadh bishoo mpaka Kanzu naivalia mlegezo,


STAMINA :Asiyenijua


BANDO MC :Mwambieni me ni hatari kwake


STAMINA :Tena hatari sana,shubiri mkewe ni asali kwake,demu wako ana habari zake.


BANDO MC :Ndo yule jamaa mlafi ambaye anakula chakula na mpishi wake.


CHORUS (BILLNAS a.k.a Nenga Tronix)


DuskoDusko Bado nyie hamjui kurap (mnazugaaa)

DuskoDusko Bado me ndo yule champion kila muda

Me ni chama la wana hawajui kama chama la wana

Me ni chama la wana hawajui me ni chama la wana


DuskoDusko Bado nyie hamjui kurap (mnazugaaa)

DuskoDusko Bado me ndo yule champion kila muda,

Me ni chama la wana hawajui kama chama la wana,

Me ni chama la wana hawajui me ni chama la wana.


(wamemchokoza BEYAA) (Kili Records)


LET'S TALK OVER THE GAME


lyrics by MAGO56

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status