Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2021

Lyrics

Hesabu - Bando MC

...

Shy town boy yeah

Muungwana nishachutama niwe zuzu ama zoba maana alinisomesha mama kwa msaada wa nguvu ya vikoba uswazi kuwa winga kwenye dagi nyuki nitakaa mizinga yote ila sio mzinga wa konyagi

Nawapa vidonge wako hoi nina hasira kiasi cha kumpiga konde hadi konde boy

Ikiwa mbichi watachagua na wabongo wanaamini kwamba bongo hakuna mbishi kama Muhaa na siku hizi naona ukubwa bajeti na ukiamini kwamba mtoto ni mchanga basi mkubwa sementi

Ukitaka ujiseti hoi nakupa somo ukiona demu amepewa shavu ujue amegawa mdomo tupa shuka mwana Sinza kumekucha hata mwenye kipara ukifika kimalasuta mapenzi ya bongo ukiyapa chance yanakutesa wenye pesa hawana mapenzi wenye mapenzi hawana pesa

Nataka kunya…kunyanyua mike eeh bwana nataka kunya…kunyanyua mike x4

Na ukiniona sijanyoa ujue uchebe namtuzianga Shishi nampa tofali domo zege atajengea ndichi kutafuta ubikra kwa Amber Rutty ni kulazimisha kitambaa cha leso ukishonee suti

Kupenda moyo ndio maana moyo unaumia kutoa ni moyo na kujumlisha ni moyo pia moyo ungebaki single tu kusukuma harakati moyo wa mama ntilie ungesukuma chapati aah wanaelewa kina Dangote bar moja kwenye verse wanalewa ma-rapper wote wasojua kuchana na hawajui punch line wakichana punch zao zinakua punch laini huu mziki hauna haki unavyosukwa inachanganya wananyimwa haki aki na ukwa sishangae wanao win akili sufuri namshangaa demu wako anaenda mwezini bila nauli

Nataka kunya…kunyanyua mike eeh

Bwana nataka kunya…kunyanyua mike x4

Eeh Mungu ulenipa akili ya kutambaa Leo nasimama paka walionipa kiti wanakaa

Wanashangaaa, milele naomba niwe hivi kinacha wengi ngedere usishangae wakipenda ndizi nacho jifunza ni kubaki mwangalifu yani kiufupi bongo hakuna fundi mwaminifu ukijitahidi utanisoma ukiona kiziwi anaskia baridi ujue ndio ameanza kupona iko wazi madada mjini wanadanga ni kwli kwamba wenye vipara wengi wanawanga ulimbukeni tabu uchizi dili we boya uliyefuta namba ya demu wako na kichwani umeikariri

Mziki kuku naunyatia polepole na uchinjwe kwa dua ya kilokole ntawapa kipapatio wanangu am sorry ila masnitch ntawapa miguu wakatiane vidole

Nataka kunya…kunyanyua mike eeh

Bwana Nataka kunya…kunyanyua mike x4

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status