Hujanikomoa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Hujanikomoa - Kusah
...
..........
dris dris dris
nafsi nafsi inasubiri. moyo unakataa nenda nimeziona dalili ipo siku nitadema
mara kila kiki yanajirudia tena nimeziona dalili mm siwezi kupona
labda alinionaga mm tahira Sina mbele na sinaga dira
akashindwa rudisha majira na akasahu na zile fadhila
labda si ww tulokula wote mpaka mpaka tukasazaga labda si ww tulokua tukipendana na kuchezaga
rozaaa dunia mapito nakueleza haya yatapitax2
ayeee mwenzako mm hujanikomoa
ayee ni kama akili umeifungua mama aaa
ayee mwenzako mm hujanikomoa AAA
ndo Kwanza akili umeifungua mama
Kama penzi lingekua nguo ningelivua ningelitupa mbali nawe maana nimekosa ni chaguo nimefanya mema Nina pigwa mawe
maajabu ya mussa fimbo kaua nyoka ayt ananitisha na alishanisusa nami nashukuru Bora amenishusha
ilipofika inabidi nilizoea baridi ohhh Leo nalivua pendo
rozaaa dunia mapito ohhhh nakueleza haya yatapitax2 ohooo
ayeeee mwenzako mm hujanikomoa ni Kama akili umeifungua mama
ayeeee mwenzako mm hujanikomoa ndio Kwanza akili umeifungua mama ahhh
(hujanikomoaaaaa ,ndio Kwanza akili umeifungua)