Wadumu Milele (Live) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Wadumu Milele (Live) - Joel Lwaga
...
msimamizi wa mipaka ya bahari utunzae ghara ya mvua,
waamua vita ya jua na mwezi upepo na mawimbi vya kujua,
uketie mahali pa siri patakatifu palipo inuka
wautangaza mwisho mwanzoni hakuna usilo lijua
nani wakulinganishwa nawe jehovah mwenye nguvu
ufalme wako ni wazamani zote vizazi vyote
miaka kwaki sio umri,uzazi kwako si ukomo×2
wadumu milele×4
wew bwana ni kama maji maji yenye kina kirefu
maji yenye kina kirefu kamwe hayapigi kelel
ni kweli kuna ma bwana wengi lakini wew ni bwana wa mabwana
ni kweli kuna miungu mingi lakini wew ni mungu wa miungu
siku kwako sio vipindi,majira kwako sio ishara
hufikiwi kwa mnara wa baberi,jina lako ni ngome imara
nani wakulinganishwa nawe jehova mwenye nguvu
ufalme wako ni wazamani zote vizazi vyote×2
miaka kwako sio umri,vizazi kwako si ukomo×3
wadumu milele×5