Hafananishwi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Hafananishwi - Joel Lwaga
...
wewe ni Mungu utukufu wako umetamalaki,
Hakuna wa mfano wako Mbinguni na duniani, "sema haufananishwi"
Haufananishwi Bwana,
Haulinganishwi Bwana,
Haufananishwi Bwana,
Haulinganishwi Bwana,
Unamamiliki Mfalme
unatawala bwana