Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2020

Lyrics

Ngome - Joel Lwaga

...

*VERSE1*

Aghhhhhhh ahhhhhhhh,

Ghafla ni Giza na nyota za mwanga, hakunaaa,

Kila lilokuwa jema kwa macho limegeuka,

Mali na fedha na vitu vya thamani vimetoweeka,

Marafiki na wote walionipenda wamepotea.



[*CHORUS*

Giza mara hii limetawala, jua limezama mchana,

Mwezi umegoma kutoka, gharika na mvua kucheki nazamaaa.

Nuru toka ndani ya mulika, nguvu ndani yangu ya inuka,

Amani ipitayo akili na nguvu za mwili inanipa kucheekaa.


Aliyeee ndani yangu, ni mkuu sana kuliko wa ulimwengu,

Ndiyeee ngome yangu, na ushindi wangu katika majaribu.

[Mimi] sitaki mwingine, ye ananifaa, sitaki mwingine nina yeye tu,

Sitaki mwingine, ye ananifaa, sitaki mwingine, nina yeye tu.]



*VERSE2*

Nilidhani furaha ni watu wakikusifu, kumbe furaha ni Yesu moyoni yakikusibu,

Uthamani haupo kwa vitu visivyodumu, ila ni nguvu ya kutabasamu hata patupu.



[[*CHORUS*]]



*BRIDGE*

[Nimesimama imaraa] heeee!! [hofu nimeteka nyara] heeee!!

[Rohoni niko salama] heeee!! [na yesu mwamba imaraa] heeee!! ×2



[[*CHORUS*]]

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status