Sitabaki nilivyo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Maisha haya, ninapita tu
Hali hii ya sasa, ni kwa muda tu
Ushindi wangu, U karibu nami
Mtetezi wangu, yu hai
Sitabaki kama nilivyo
Sitabaki kama nilivyo
Sitabaki kama nilivyo
Sitabaki kama nilivyo
Silalamiki, wala sikufuru
Najua ni darasa napitishwa
Imani yangu ipo kwenye kipimo
Najua nitapita tu
Sitamani ya wengine wala sijilinganishi
Najua wakati wangu upo
Siogopeshwi na mapito
Ninayopitia
Namwamini yulee
aliyoruhusu nipite
Sitabaki kama nilivyo
Sitabaki kama nilivyo
Sitabaki kama nilivyo
Sitabaki kama nilivyo
Sitabaki kama nilivyo
Sitabaki kama nilivyo
Sitabaki kama nilivyo
Sitabaki kama nilivyo X2
--- www.LRCgenerator.com ---