Nitakuamini Tu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Nitakuamini Tu - Joel Lwaga
...
Kwakua umesema,
Mimi nitakwamini tu
Hata kama sijaona,
Mimi nitakuamini tu
Sitajali wanaosema, (
Mimi nitakwamini tu
Nitashika ulilosema,
Mimi nitakwamini tu
Kwakua umesema,
Mimi nitakwamini tu
Hata kama sijaona,
Mimi nitakuamini tu
Sitajali wanaosema,
Mimi nitakwamini tu
Nitashika ulilosema,
Mimi nitakwamini tu
Ntakwamini
Nitakwamini tu
Nitakwamini
Nitakwamini tu
Nimejua na nina uhakika,
Ukisema neno linatimia
We si mwanadamu hata ujute,
Si mtu useme uongo
Hata kama nuru inafifia,
Hata kama huu ni uhalisia,
Hata kama sioni njia,
Sina pa kukimbilia,
Ulilosema ni akiba
Iwe mvua ama jua,
Kiangazi au masika
Iwe leo au kesho,
Siku nisiyoijua
Nitasubiri
Kwakua umesema,
Mimi nitakwamini tu
Hata kama sijaona,
Mimi nitakuamini tu
Sitajali wanaosema,
Mimi nitakwamini tu
Nitashika ulilosema,
Mimi nitakwamini tu
Ntakwamini
Nitakwamini tu
Nitakwamini
Nitakwamini tu