Raha ft. Dayoo & Platform Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Raha ft. Dayoo & Platform - Kontawa
...
DAYOO
Aaah!!!!! naitwa mangiiiiii
Dawaaaaa
Mi nachekaga tu
katika kuchagua wachumba mi huwaga sikurupuki na spendi mademu warafu kwa
sabu maisha mafupi
Navyo mpenda demu wangu nkikwambia utaniona nuksi oyaaa mimi na demu wangu tuna share mbaka chupi.....
Kwa maradhi yaani mengi koko chumvi mkubwa wa jiko nampaka marangi mapiko piko na jioni nawapa kadi za mwaliko naowa eeeeeh....
Nkiwa naomba mapenzi wala situmii nguvu mtoto akikataa kataa namtishia mkuki semaaaaa.......
Oya sina mda wa kukupruvu ila nlisha wahi kumla demu mbaka akabaki fuvu
Namshika mwili namshika mbaka akili ndani
siyo chini nashika mbaka simu yan
siyo bedi napiga mbaka vya ukutani
Nauwaaaa
Yani raha raha nampa raha x2