Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2023

Lyrics

Shida - Kontawa

...

alipoteza bikra yakee tangu akiwa na Miata kumii

huyu dada bwana sifa yake anapiga mlegee had gauniii

uzuri wake ni wapekee ake

ila anatabia za kihunii

ikitokea ukawa bwana ake ata ukimcheat haimuumii akitaka kuvuta ana smoke kankaa

Kuna muda anashindana na wanaume kunywa pabaa

Kuna watu bana waliingia Chaka walimpa cret Zima wakakuta amewaka

anaitwa shida usiombe akusikiee unajudgeee

mtaani kwako kutawakaa maana atakuchamba bila majii

aaah shida anadate na watu wasionaidadi

alianza kushindikana alitembea na mpaka wakimbiajii

anaitwa shidaa,shidaa ndo jina lake kwenye I'd alilopewa utotonii*2

..............

alishawah kutoa mimba ikiwa n miezi nane

anavuta sigara Kali kama Jose wamachame

shida aogopi mtu so usijichanganye ukimletea usela mavi anakupa choo ukanyee

baba ake shida aliuwawa kama muhalifu n mama ake ndo alikufa hiyo hyo usikuu e

ilikua jumatano saa tatu usikuu na ndo hyo siku shida alizaliwa na kwakua shida alikua anashida kila siku kwenye mwili wke akawa anauza kila kituu

akapelekewa moto mtaani na kila mtu mwisho wa siku akaunguaa

stress zikafanya anywe sumuu maana Dunia kama inambaguaa akaokolewa na wahudumu baada y kutoka hospital serikali nayo ikachukua hatuaa

shida akahukumiwa kifoo Kwa Kosa lakutaka kujiuaa

anaitwa shida shida ndo jina lake kwenye id alilopewa utotonii*2

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status