Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2021

Lyrics

Bastola - Kontawa

...

KONTAWA_-_BASTOLA.

another banger

me nachekaga tu

hey you my name is kontawa rapa tishio kwa matembo

sijawai kuwa mwanajeshi polisi wala mgambo

me ndo kidume cha shoka mwenye panga kaa mbali

mana naishi na bastola ambayo aina ata kibali

bastola ambayo iko tofauti kabisa

sio machine gun wala smg ya kivita

aijawai kuishiwa nguvu course nimejiimalisha

huwa naitumia vyema ili niwe staa kwenye vita

bastola ina maajabu yasiyo na uchawi wala ndumba

mana uwezi ingia vitani kama bastola aijavimba

nilipo jua ayo maajabu nilibaki na tabasamu

kumbe bastola itavimba tu kama utaijaaza damu

me uwaga nawaza vita nikiona kumi ya kirumi(xxx)

basi )apo nitamwita adui asipo kuja naenda bafuni

kwanza inapendwa na adui kwa jinsi ilivyo tulia

wala sijapitia depo ila najua kuitumiaa

ukikaa vibaya mbele yangu inakushuti

inafanya mauaji bila ata kutoa sauti

ukiletea matani itakulaza maututi

ukishika vibaya aichagui inakushuti

inakushuti (inakulenga)

inakushuti

inakushuti inakushuti(bastola)

inakushuti (inakulenga)

inakushuti inakushuti

ukiwa mbele ya watoto bola usitamani vita mana ikichachamaa bastola itakuaibisha

kila siku asubui bastola inajivimbisha kama umelala na adui fanya mauaji ya kutisha

bastola ina tundu moja lenye upana kiasi

kazi yake kutoa maji na kutema risasi

siku zote uwa inafichwa sehemu za serious

aina miguu ila inasimama kwenye nyasi

wapamba wanaitumia mpaka wanatajirika

bastola kaa jogoo itakuwa noma isipo wika

mambo ya kikoloni naimani yote yatatoka

bastola inatoa wazungu wanaoishi Afrika

najua uwezi amini kitu ntakacho kwambia

bastola aiuzwi dukani na ikiuzwa ni bandia

mtu akipiga hewani akuna utakacho sikia kama ujaijua iyo bastola nifollow insta ntakwambia

ukikaa vibaya mbele yangu inakushuti inafanya mauaji bila ata kutoa sauti ukiletea matani

itakulaza maututi

ukishika vibaya aichagui inakushot

inakushuti(inakulenga)

inakushuti

inakushuti inakushuti(bastola)

inakushuti (inakulenga)×2

tambua bastola ya chizi ndo inarisasi nzito

kama ile ya gobole japo uwezi sikia mlipuko

aijalishi we unaipi cha msingi uteme moto

kuna mguu wa kuku wa bata mpaka wa mtoto

we mwenye mguu wa kuku jifunze kushambulia

ukiwa mzembe utapata skendo kuwa mchizi unakibamia

niliamua kumpenda adui nae akunipenda pia

alipo iona ii bastola

akadai naomba kuitumiaaa

ukiwa umeshika bastola chunga usilenge siko



mana imekua fashion machizi kulenga jicho

we unapenda vita kisa bastola yako

cha zaidi kumbuka kinga kwani vita aina macho

ili bastola igawe dozi kwa adui anae jikuta piga tizi sana ikiwezekana funga busta

mzungu amejenga ya bandia ili wachezee watoto

ya kwangu uwa inalala na aijawai kuota ndoto

(inakulenga)

(bastolaa)

inakulengaa






follow me in istagram at k.a.j.o.j.o_kid

to request your favor song lyrics

over.

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status