Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2023

Lyrics

Dunga Mawe - Kontawa

...

DUNGA MAWE

Anaitwa dunga mawe,

Mwanangu wa utoto,

Katika kitu nakumbuka,

Alipitia changamoto,

Mwanangu dunga mawe,

Alikuwaga kibokoo,

Na sura yake ilitumika,

Kutishia watoto,

Eeee

Oya huyo mwanangu alikuwa msela,

ALishawahi kufungwa akatoroka jela,

Maisha yake visanga yani mpelampela,

Asa ngoja niwape movie hilo lilikuwa twela

Eeee

Kuna kipindi dunga mawe si alipata mwali

Tukaenda hadi ukweni si kutoa mahali,

Baada ya vitu kukamilika tulivyopewa

mwali,

Akamvizia baba mkwe akamwibia mahali,

Alianza kuvata bangi na miaka saba,

Ulivyo wa nane akaanza kukaba,

Sababu ya hali ngumu kakosa msaada,

Eee

Hakuwahi kuwa na mama wala huyo babaa,

Ndugu wa karibu hawakumpa faraja,

Mali alizoachiwa na wazazi waakee kadhurumiwaa

Aaaah aah

Anaitwa dunga mawe

Aaah aaah

Mwanangu dunga mawe

Aaah aah

Anaitwa dunga maawe

Aaah aaah

Mwanangu dunga mawe

Ukimletea unyonge lazima aruke nawe,

Bora ukabwe na tonge ila sio dunga mawe,

Utafanya kitu gani hili umfanye apagawe,

Kashaoga matusi mpaka akaamua anawe

Ile siku dunga mawe akiamka vizuri,

Tena ukamkuta kwenye mood,

Anaweza agiza bia mbili,

Afu akakupa mia mbili,

Kisha akasema kwamba chenji inarudii

Demu wake dunga mawe alikuwa na mimba,

Yapata kama miez tisa,

Kwa kuwa pesa ya uzazi ilimshinda,

Ikabidi awe anapinisha,

Akamwambia kwamba mpenzi wake kuwa amepata safari,

Anaenda kupambana hili mambo yawe shwari,

Na atakaporudi watakwenda hospitali,

Aaaahh

Eeee

Kumbe alipanga kwenda kuiba huko sehemu za mbali,

Ndipo akakamatwa na watu wenye asira kali,

Wakamshushia kipigo,

Kipigo juu ya kipigo,

Namwisho wakamchoma na mipira ya magari

Aaaaa aaaah

Anaitwa dunga mawe

Aaaaa aaaah

Mwanangu dunga mawe

Aaaa aaaah

Anaitwa dunga maawe

Aaaa aaah

Mwanangu dunga mawe

Alianza kuvata bangi na miaka saba,

Ulivyo wa nane akaanza kukaba,

Sababu ya hali ngumu kakosa msaada,

Eeeee


Hakuwahi kuwa na mama wala huyo babaa,

Ndugu wa karibu hawakumpa faraja,

Mali alizoachiwa na wazazi waakee kadhurumiwaa.

Aaaaa aaaah

Anaitwa dunga mawe

Aaaaa aaaah

Mwanangu dunga mawe

Aaaa aaaah

Anaitwa dunga maawe

Aaaa aaah

Mwanangu dunga mawe



Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status