Mwalimu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Mwalimu - Kontawa
...
Mi nachekaga tu
Wananiita mwalimu
Oya mi ndo mwalimu eeh
Najulikana mwalimu
Kwasifa zangu mwalimu
Nimegundua wanafunzi hawasomi sana
Mwalimu husiposhika fimbo
Ndo mana wanafunzi wangu bwana
Mi nawachanganya nikiwaonyesha fimbo
Kuna mwanafunzi wa kidigo huyo katokea tanga
Eti kaja shule kiunoni amevalia shanga
Na alivyomtundu barazani anapiga misamba
Nilipotoa fimbo kumchapa akaanza kulia
Aaah eeeh akaanza kutapatapa
Ticha husichape huko nataka unichape hapa
Nami nlivyomwehu mtoto nkamkamata
Nikamchapa mchapo wa viboko we vya fasta fasta
Aaah eeh mtoto anaanza kulia
Ticha husichape hvyo mwenzako naumia
Naukichapa sana ntakosa chakukalia
Mana fimbo yako nashindwa kuivumilia
Wananita mwalimu ooh mwalimu
Wananita mwalimu ooh mwalimu
Wananita mwalimu ooh mwalimu
Wananita mwalimu ooh mwalimu
OH huyu mwanafunzi ni hatari
Anakuja kusoma physics usiku mkali
Eh mwenzanu mi namkubali
Ila mwalimu wa mathe anasema hatofika mbali
Tate tate tatalila shooh
Kuna mwanafunzi wakiume anamletea ubishoo
Kuna siku iliniuma nlivyowafuma store
Nikamfanyia figisu mwanafunzi yule akapata four
Sina kinyongo tukiwa darasani
Akifanya makosa namshikisha ukutani
Kwanza ninamazonge mshahara hauonekani
Nikipagawa napangisha chumba cha mtihani
Huyu mwanafunzi ananitia mawenge
Eti anasema ticha fimbo yako bonge bonge
Amechukua camera lengo lake aniombe
Arecord fimbo yangu itrend ka ticha konde
Wananita mwalimu ooh mwalimu
Wananita mwalimu ooh mwalimu
Wananita mwalimu ooh mwalimu
Wananita mwalimu ooh mwalimu