Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2023

Lyrics

Falling Again - Kontawa

...

Mdomo koma mdomo nyamaza

Nakumbuka mara kwanza nakuona

Nilikuona kwenye big brother

Nikaumi sana kusikia una bwana ako

Niliingia na wivu ikabidi nifumbe macho

Nikaomba namba hadi kwa mashoga zako

Wakaniambia nikitakafeza nikaaso

But now oooh

Nikiona rafiki zako uwa nawauliza swali

For now oooh

Yupi anamiliki fedha kati yangu na serikali

Hapo kati Tembo nachui walinivuruga

Nikaona kama kwako ntapoteza muda

Ila uzuri mi nimesomea ujuba

Nikachukua kiberiti nikachoma mboga

Nimefalling love again

I swear am falling love again

Me am falling love again (again again)

I swear am falling love again (again again)

Watu wanasema ukiiba feza kuna kesi

Mbona mi nimeziiba mbele ya jeshi

Na hizi salamu ziwafikie hadi maex

Mi nimeamua kuishi na feza kama bank

Baby kuna watu kwako wanaleta chuki

Achana nao bwana akili zao fupi

Wanakusema ata pumzi hawakupi

Eti iyo shepu umechonga uturuku

Matajiri wanakutaka eeh

Masikini wanakutafutaa

Oya mi nimekupata wakatangaze msiba kwako nimekufa

Hapo kati Tembo na chui walinivuruga

Nikaona kama kwako ntapoteza muda

Ila uzuri mi nimesomea ujuba

Nikachukua kiberiti nikachoma mboga

Nimefalling love again

I swear am falling love again

Me am falling love again (again again)

I swear am falling love again (again again)

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status