Wivu ft. Mapanch BMB Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Wivu ft. Mapanch BMB - Fid Q
...
Nakuomba unitomase uniepushe na maumivu
Dume nje ya nafasi, sahii ningeshakua msikivu
ushanishika haniwapati,kwako me mtulivu
kukwita hawa wanga sitaki sababu mi Nina wivuu
sipendi kumwona akikuita sipendi kukwona ukiitika (sipendi sipendi)
vile umenona unapita wanalike mapicha huko insta
hashtag
pisi Kali pisi Kali
unatrend huko Twitter
hataki kujivinjari na we pisi kali bila shida
mtaani mwendo wa maringo wanavunja mashingo wanadata wanahusudu
Bahati ya mwenzio usiilalie milango wazi utang'atwa na mbu
Na sijari akisema umenilisha limbwata ni vyema ungenipa na juju
kwangu hata mkwanja ukitaka nakata tu fasta hujafata tu dud*
Ni wazi umeniteka umenishika nilibeti na mkeka hujachana
ukileta mapresha utanitesa nitapiga tutakwenda kijeshi
watoto wa macho kodo
badala ya kuhustle hawa mafogo
Nakomaa na wako huo mgongo
Nakushika hapohapo kwaa mikogo
Nakupa show show
haina utozi haina uduwanzi
haina gozi haina ganzi haina chozi
we ndo manzi wangu njoo
usije slow kama advance ya promoter
nikose amani ya mtaani Nani anatishaa
Usinifananishe na yule fala flani Bora uchanee picha