Tajiri Yangu ft. Paul Clement Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2019
Lyrics
Tajiri Yangu ft. Paul Clement - Fid Q
...
Lord ni ngumu kujua we uko wapi ila unajua nilipo naisaka haki kuipata ni bahati au ni kwa waganga siko vyuma vikikaza tunatanga kutanga kusaka mshiko na mbanga zinakwaza na madada wadanga wanabamba vifo na walipinda uwalinda na love.