Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2019

Lyrics

Hello (Darling) ft. Taz - Fid Q

...

ulaa!ulaa!

I call you baby cause you make me feel so nice and so i don't think.

can I call you baby my sugar plam cute pie sweetness hear me say.

Gotta say hello, hello, hello darling.

you truly missed here let me say.

hello, hello, hello darling.

your love is everything I know.

uuuuuuhhhhhh...

Ad


hello (uuhhh)

hello (uuuhhh)

hello,hello(hello).(uuuhhh)

sijui ni mkosi au love ndo inakuwa hivi

ulionitosa nione kavu tushakuwa as if

wa ushoto wa ubavu wangu, my love au laaziz

wa ndoto zangu unanitema tena bila jinsi

pay pass, ume-play pass usikatae please

Na hii ndo payback ya kupenda bila side chicks

niliacha playback, way back, stay back suspicious this

Nikapata flavour sio fedha, flavour ile priceless


nikawa fresh kama breezy kwenye sound

mapenzi yana uchizi wa ku freeze wewe hauna

ulikuwa unanizuga tu kama mluga mluga fool

moyo unadunda sugar sio sugar we nunda boo

mapenzi mapya nilipata nikadata kweli

sielewi kwanini uliniacha, unanikacha unataka kufail

Na sina habari sioni hatari we ukiringa

lakini macho yangu hayapo tayari uki party na mjinga.

I call you baby cause you make me feel so nice and so i don't think.

can I call you baby my sugar plam cute pie sweetness hear me say.

Gotta say hello, hello, hello darling.

you truly missed here let me say.

hello, hello, hello darling.

your love is everything I know.

uuuuuuhhhhhh...

(hey! yeeah)mpenzi wangu umenimaliza weee

Darling wang

hello (uuhh)

hello (uuhh)

hello,hello (hello). (uuuhhh)

sorry kwa hii namba ambayo hauijui najua

nimekuwa mpole kama mshamba sitaki uadui ukakua

unavyonimwaga na nimetua nanga hujui naugua

manyanga nishamwaga mjanja sikuuwi kwa dua

kukosea njia ndio kuijua

na haijapotea nia japo walichochea kuiuwa

umeniotea najua, sikia najitextia nimekua

sikuzote anayejisifia ni yule iliomnyeshea mvua

Ewe tabibu nakuomba uje uniweke sawa

unakijua kinachonisibu na mgonjwa haulizwi dawa

Acha kiburi mlakaya niwe nawe darling

cheza na zuri hili baya likae mbali

simjui jina, yule ampendaye havumi

simuoni adui ananipima sitambai ngumi

Nastahiki heshima kwa kuwa alivyo asinune

Nakaa kimya cause mbwa abwekae haumi

I call you baby cause you make me feel so nice and so i don't think.

can I call you baby my sugar plam cute pie sweetness hear me say.

Gotta say hello, hello, hello darling.

you truly missed here let me say.

hello, hello, hello darling.

your love is everything I know.

you be my darling cause you all that i need for life

(you be my darling cause you all that i need for life)

More Lyrics from Fid Q Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status