
Kiboko Yangu ft. Alikiba
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2015
Lyrics
Kiboko Yangu ft. Alikiba - MwanaFA
...
Kwa sifa moja umenikamata
Nakupa, we peke yako ndo umeniweza
Nilikopita nimeteleza
Lakini kwako, we ndo kiboko yangu
Kila shetani ana mbuyu wake, we ni mibuyu mitatu
Ukiamua unitumikishe mwenzio ntalala na viatu
Najionea maajabu, najionea mapya mama angu
Hakuna mapenzi ya hivi popote kwenye ulimwengu
Siwezi elezea jinsi navyokuzimia
Nikicheza na moyo wako, unacheza na wangu pia
see lyrics >>Similar Songs
More from MwanaFA
Listen to MwanaFA Kiboko Yangu ft. Alikiba MP3 song. Kiboko Yangu ft. Alikiba song from album Kiboko Yangu is released in 2015. The duration of song is 00:03:43. The song is sung by MwanaFA.
Related Tags: Kiboko Yangu ft. Alikiba, Kiboko Yangu ft. Alikiba song, Kiboko Yangu ft. Alikiba MP3 song, Kiboko Yangu ft. Alikiba MP3, download Kiboko Yangu ft. Alikiba song, Kiboko Yangu ft. Alikiba song, Kiboko Yangu Kiboko Yangu ft. Alikiba song, Kiboko Yangu ft. Alikiba song by MwanaFA, Kiboko Yangu ft. Alikiba song download, download Kiboko Yangu ft. Alikiba MP3 song
Ngoma yangu kali ya mda wote