Loading...

Download
 • Genre:Hip Hop & Rap
 • Year of Release:2014

Lyrics

Yalaiti ft. Linah - MwanaFA

...

Keeping good music alive that is my job My sunshine my moonlight and everything i dream about Linah let's go () Yalaiti napenda pasi kifani, Tofauti sikutilii moyoni Sikuachi leo na kesho peponi Aaa aaa aa i love you (repeat) Sambaza love kama dawa sikuachi mpaka napagawa Watu Wakisema me siwagusi natingisha kichwa Mapenzi yako yanielemea kama chupa nzima ya tequilla Si ulishasomwa nakupenda acha masihara Kuna aja gani nikushikie fimbo ili nikusikilza kama gorrila Me mtu na mapenz yangu nmeshaaja zaman usela Una matatizo yako najua Na me yangu boo With u together from this moment We will sue them through Nikukosea nisute, nipige vibao nizodoe, Ninunie kwa siku kadhaa ila nachokuomba usinikimbie Mapenzi hatamu me kwangu hadithi mambo ya kizamani hayo Ukiniudhi ntakupiga kwa kanga ndo nilivyofunzwa Tanga ivyo Toaga mabusu nikufute kwa kumbatio mpk tamu kwa kiss ya pili Ukinikumbuka iwe kilio Sipendi mapenzi napenda mapenzi nawe usinikatae utaniumiza me na Biashara na wewe Nshasema Sipendi mapenzi napenda mapenzi nawe Usinikatae utaniumiza me na biashara na wewe Ushaangaliwa niunge tela Usingoje mpaka uambiwe Ushaangukiwa anguka nawe usizubae mpaka irejewe Kwako ntakuwa Bushoke sitajiulza ka zezeta Yatoe mahaba mapenzi amani tumepita Me sakafuni we ukingoni mbio zangu haziendi mbali Na moyo wangu nitapenda bila kujali Hata marefa wana timu zao mama Hupanga matokeo Pambano lianze Washajua goli ngapi ngapi leo Husiache kuvaa nguo ndefu hivi vimini waachie vicheche Mwanamke kwetu staa hatuna tupendao sio wote Akili haziwezi moyo na wenyewe una ubongo pia hauwezi kufuata fuata Kila utakachouambia Nahitaji yako mapenzi Napata picha yako kwanza Natamani upate yangu nayo iwe inakuliwaza Linah: toa shaka na wasiwasi moyoni*2(ay: mashalaah) Kukuepuka ilo haliwezekani Ntakushika leo na kesho peponi

More from MwanaFA

Listen to MwanaFA Yalaiti ft. Linah MP3 song. Yalaiti ft. Linah song from album Yalaiti is released in 2014. The duration of song is 00:05:04. The song is sung by MwanaFA.

Related Tags: Yalaiti ft. Linah, Yalaiti ft. Linah song, Yalaiti ft. Linah MP3 song, Yalaiti ft. Linah MP3, download Yalaiti ft. Linah song, Yalaiti ft. Linah song, Yalaiti Yalaiti ft. Linah song, Yalaiti ft. Linah song by MwanaFA, Yalaiti ft. Linah song download, download Yalaiti ft. Linah MP3 song

Comments (9)

0/500

  New Comments9

  Matuta_jr

  bonge la ngma holo

  Tanzania

  Bweyeo0all

  best romantic hip hop song of all time.

  Tanzania

  frank jamesbxuw1

  If you have zenith Bank account or Ecobank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Instant loading .. I have a direct zenith and Ecobank log now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank or Ecobank account.. don't give me new account within 30 minutes time the job is done +2347063796632

  Nigeria

  Mudy Miraj

  nice

  Tanzania

  myra gwebe

  nyimbo inanikonga moyo n siichoke binamu asanteh wabondei hatuna mbambambaaaa.....[0x1f618][0x1f618]

  Tanzania

  Cecilia Mwacharouosli

  sikuachi leo na kesho peponi aah aah aaaah i love you ❤️❤️❤️ aah acha tu nyie mnapeleka watu paradise kwa imagination

  Kenya

  0796943634

  beautiful song. haishi utamu!

  Mauritius

  Alfred alfredeygxd

  niceeee

  Tanzania

  £Ã~Yonna_Tz

  Love the sound, clap

  Tanzania

  +

    -   or   -

    -   or   -

    NG +234

      Please Select A Playlist

      Add New Playlist

      Share on

      Embed: Love & Light EP

      Custom Size :

      • Default
      • Desktop(300*600)
      • Mobile(300*250)

      Type :

      • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
      Get Boomplay Premium
      for
      Payment Method
      Pay With
       Review and pay
       Order Date
       Payment Method
       Due Today
       Flutterwave
        Subscription Successful

        Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

        Now you have access to all the features of Boomplay App.
        Payment Failed

        Please check your balance and then try again.

        You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
        Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
        Payment Processing...
        10 s

        Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

        Payment Processing
        Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
        About Order Status