Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2019

Lyrics

Ulimi Mbili ft. Maua Sama, Hard Mad & Noorelly - Fid Q

...

Hawamaanishi wanacho sema (lakini),

Huongea ya maana, Madishi ninayo tema yakipotea ujue unalaana,

Una drama ukikwama lawama bwana akikukana inauma sana,

Unanichanganya kutamaniana ujana na maana ya kupendana, (mapenzi)

Sio mashindano flani na flani wakomo ubishi,

Ni makubaliano ndani ya ki-moyo honey umridhishe,

Kuyaanza ni vigumu, kutengana ni rahisi,

Kuyafanya ya dumu, inapaswa wakaanga sumu wote wa-tight,

Unamuita Queen na unapassion ya kumuona,

Simu yake ina pin na ma-password kila kona,

Na majina kama kadabra, kumbe ni Ibra yani Roma,

Na aliemsave kama baba, Ndio ulie jiba nae kinoma,

Ukienda kasi utaona life iko fast,

Kiasi Kwamba ata your first lover awezi kuwa your last,

Unamuona mrupo kisa ulimgonga kwa mshiko,

Anakuomba madusko anahonga batonga anagonga vitu,

Unamuita darling au wife mama mamito,

Unapata habari za wanafiki kuna walafi wanamla hadi jicho,

Unaemtaka haumpati utampata wapi,

Anaekutaka hautaki haumpi nafasi,

Akikuteka ukijiweka haukohoi, Utakesha tu unacheka ushatekwa home boy,

Weka yeye atoe, asie enzi na usimboe,

Wengi wanayajua mapenzi lakini wachache wana ya enjoy,

Haaaaa... Kichwani unanichanganya unanivuruga mimi everyday,

Haaaaa... Najali wangu mwendo wananizuga kumbe hawacarei,

Haaaaa...(Wouwo) Kichwani unanichanganya unanivuruga mimi everyday,

Haaaaa... Najali wangu mwendo wananizuga kumbe hawacarei,

Hawa maanishi wanachosema, Lakini huongea ya maana,

Hawa maanishi wanachosema, Lakini huongea ya maana,

Ulimi mbili, Ulimi mbili, Ulimi mbili, Ulimi mbili, Ulimi mbili,

Ulimi mbili, Ulimi mbili, Ulimi mbili,

Ulimi mbili, Ulimi mbili, Ulimi mbili, Ulimi mbili,

Mapenzi ya Kweli ni kama jini,

Wachache ndio wameona mwache alie kuona unanini,

Sio maujanja kama wanadada vyuoni,

Wasomi wa mchana wanaofanya uchangudoa

Jioni, Kisha wana act kama virgin in the morning,

Ili picha uipate ficha flash wasiione,

Wengi hawa graduate na A, Wana graduate na eight(8),

Wenye graduate utawajuaje kwao hawahitaji comfess,

Ilimradi wa-sex na washkaji wasio

Chek, Waki test blood wanawapa stress,

Uponaji ni hadi aki-bless god,

Ulemchekesho unamliza na anajuta

Umemfilisi, zaidi ya gear riverse imalizayo mafuta,

Wazamani siwezi mwacha na mpya nilie mpata huku kwetu,

Mjanja hawez ingia dukani kununua viatu akiwa peku,

Kila msichana anataka bwana mwenye demu(ah),

Inaonekana anasaka bwana mwenye game,

Mnaachana unachoma picha unachange number za phone,

Inakuumiza kichwa mapenzi yako moyoni,

Muda unapita na mwezi hadi ndotoni,

Unagundua yule mshenzi hakupendi lakini haumkomi,

Akikuteka ukijiweka haukohoi, Utakesha tu unacheka ushatekwa home boy,

Weka yeye atoe, asie enzi na usimboe,

Wengi wanayajua mapenzi lakini wachache wana ya enjoy,

Haaaaa... Kichwani unanichanganya unanivuruga mimi everyday,

Haaaaa... Najali wangu mwendo wananizuga kumbe hawacarei,

Haaaaa...(Wouwo) Kichwani unanichanganya unanivuruga mimi everyday,

Haaaaa... Najali wangu mwendo wananizuga kumbe hawacarei,

Hawa maanishi wanachosema, Lakini huongea ya maana,

Hawa maanishi wanachosema, Lakini huongea ya maana,

Ulimi mbili, Ulimi mbili, Ulimi mbili, Ulimi mbili, Ulimi mbili,

Ulimi mbili, Ulimi mbili, Ulimi mbili, Ulimi mbili, Ulimi mbili,

Ulimi mbili, Ulimi mbili, Wanaongea...

Wanaongea... Ulimi mbili, Ulimi mbili, Ulimi mbili.

More Lyrics from Fid Q Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status